Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Halafu huo wimbo sasa😎😉Watakuambia eti maandamano ya Gen Z hayakua ya kikabila, ona hapo baada ya kumuondoa Ruto wameliacha bango lenye wa kabila lao utafikiri kwenye hiyo bill hawahusiki, Kunyaland ni ukabila mtupu