Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nguruwe hapendezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
IMG_20240804_193832.jpg
 
Pale kwa daily dose mambo iko shwari.

a4-jpg.7650616
a5-jpg.7650617
Usikute mchina baada ya kuona hako ka nchi hakatorudisha pesa yake kutokana na kuwa na vijana wa hovyo wa kuharibu mali kisa bei ya ugali kaona aache ku fund haka ka mradi, ni mda mrefu naona pako vile vile, mbaya zaidi naona mafundi wa kikenya 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣

Tutegemee jua kali Stadium as usual 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣

My take, no afcon πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Back
Top Bottom