Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,324
- 18,182
K have asked you to prove your claims umeshindwa sasa si heri unyamaze tu?Huna akili na huna upembuzi.
Serikali kukatikiwa na fedha ni jambo la kawaida.
Kenya wizara yenu ya afya ilikatikiwa na fedha ndio maana m miezi minne bila dawa.
Kama mngekua na fedha mngenunua mwezi ule dawa zilivyoisha.
Wacha kutafuta sababu zisizo na mashiko.