ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
We black man mbn naona kama unajipost mwenyewe, hao umefanana nao wewe usimsingizie sama boy, wewe ndiyo uko kama hao kuanzia rangi mpaka mikono, usimsingizie sama boy kwanza humuwezi kivyote, sama boy ni handsome boy ila wewe umekomaa mikono mpaka uso 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Just imagine, mtu anajiita supa pawa ofu isiti afilika halafu anajieleza kweli. 🤣 🤣 🤣 🤣Wanatapatapa lakini hakuna anayewashobokea tena; ha ha ha😎😎
Na sasa hivi hatuendi vitani tena kama ilivyokuwa vita ya Kagera iliyoturudisha sana kimaendeleo tunawatimulia vumbi huku wanaona hivi hivi😎😎Just imagine, mtu anajiita supa pawa ofu isiti afilika halafu anajieleza kweli. 🤣 🤣 🤣 🤣
Huyu bongo zozo anaitangaza sana Tanzania, angalia alivyowafunika wakenya 🤣🤣🤣🤣
View: https://www.facebook.com/reel/812137857568900?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Kwani wewe watchman Huoni shida train ikikwama Mara saba kwa miezi miwili? Huoni mshalemewa kuendesha SGR?😂😂Hellow black man hizo ni changamoto ndogondogo zitatatuliwa utake usitake, na usisahau kwa East Africa ndiyo treni ya kwanza ya umeme, kwahiyo tupo katika kujifunza, mambo yatakaa sawa japo unaonekana kuumizwa sn na maendeleo ya Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unatafuta Sama boy 255 aka baboon man akusaide? Nimekulemea ama? Kwanza huyo mwenye unaita haezinireply, muoga kama panya. Nilimtuma aende aulize kama babake alikuwa ni binadamu ama baboon lakini amekataa kurudi na jibu😂😂We black man mbn naona kama unajipost mwenyewe, hao umefanana nao wewe usimsingizie sama boy, wewe ndiyo uko kama hao kuanzia rangi mpaka mikono, usimsingizie sama boy kwanza humuwezi kivyote, sama boy ni handsome boy ila wewe umekomaa mikono mpaka uso 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bonge la picha mwanangu ❤️ ❤️ 😘 😘 😍 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥
Refurbished train ilikwama for 9hrs msituni, hivi mna akili nyinyi?😂😂🤣😂Bonge la picha mwanangu ❤️ ❤️ 😘 😘 😍 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥
Asante sana mkulima a.k.a mkono wa jembe.
View attachment 3092291