Ukiona hivyo Tanzania ni nchi ya neema na fursa nyingi.Alikuja Tanzanuw na Ksh 60k akakuwa millionaire instantly 😂😂🤣
Wekeza nguvu kiasi pia vuna pesa nyingi.
Sio kama Kenya unavujwa jasho mpaka damu ila hakuna unachopata.
Hicho hicho kidogo ukimalizie kwenye gharama kubwa za kimaisha.