Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alikuja Tanzanuw na Ksh 60k akakuwa millionaire instantly πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Ukiona hivyo Tanzania ni nchi ya neema na fursa nyingi.
Wekeza nguvu kiasi pia vuna pesa nyingi.
Sio kama Kenya unavujwa jasho mpaka damu ila hakuna unachopata.
Hicho hicho kidogo ukimalizie kwenye gharama kubwa za kimaisha.
 
7 times gani wewe au ukiongea uongo ndio furaha yako yet yetu bado iko kwenye trial period πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

hvi mbona munaihofia sana tanzania
Nimemsikia kadogosa TRC SGR trains zinabeba abiria zaidi ya 9,000 kwa siku.
Wale watu wa mahesabu embu wekeni vizuri hizi hesabu tulinganishe na SGR ya jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…