ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
tuoneshe golden dragon in kenya sasa hvi mm nifunge acc ๐๐๐๐๐. yani umeumia sana na habari ya youtong kuweka assembly plant yao hapa na hio sio wazo lao la leo au jana muda mrefu huo mpango wanao na unajua kwann??? kwasababu tanzania ni wanunuzi wakubwa wa bus zaoHata Golden Dragon walitangaza kuja Tanzania but ended up in Kenya hadi mkaanza kulia๐๐๐คฃ