Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Mzungu anaongea kingine, zakayo anawapanga kivingine ๐๐๐ ningelia sana ningezaliwa Kunyaland barren country isio na future yoyote kwa wananchi wake mpaka mnapigwa mnada on air ๐๐๐
View attachment 3095677View attachment 3095678View attachment 3095679
View: https://x.com/OliverMathenge/status/1834634507544088896?t=zEBDce62xtlcsMt-0dV6yQ&s=19
Elimu ya utanzakunduni bana ๐๐๐, repatriation ni kwa ajili ya wakenya ambao wanaishi illegally. Najua ulidhani nikama ile deal ya Rwanda na UK ya asylum seekers ....
Very soon Germany watampata Obama wao (Kama unaelewa)