NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
Umeiweka mwenye ila kuelewa ndio umeshindwa. Soma kile ulichoweka polepoooole utaelewa.Weka hapa maana ya van from English dictionary nitoke JF sasa hivi.
Unafikiri mzungu ni mjinga aite gari ya abiria van kwani anabeba mihogo humo ndani.