Geza ilikuwa malumbano, ananiquote, namquote ila mimi kuna wengi walikuwa wananiquote na sina shughuli nao kama ilivyo tu sahii. Kuna jamaa aliitwa Kimweri. Tulipelekana naye sana hani tukianzana kila mtu ananyamaza inakuwa mimi na yeye alafu mashabiki wake Bongolala pembeni wakimshangilia bila hata kuelewa anachosema maanake tulibishana vitu technical sana.Mimi kawaida yangu nikiona mtu hana knowledge ya kutosha ila ubishi tu huwa naachana naye namuignore. Mnamchukia
Teargas kisa habagui. Ukija na ujinga anakupa vya uso tu.