Nani kakwambia ni luck wewe!??Nimekuuliza wewe umepata ngapi if mining is not luck? Tumewaambia mining is luck and that’s why huyo jamaa kapata $8M mkakataa, sasa tuambie wewe umepata ngapi?
Kama ni luck mtu ange deploy vifaa vingi na kupoteza hela nyingi!?
Kizibo kimoja cha mercury ni Tzsh 4000.
Jiulize unahitaji vizibo vingapi ujaze chupa ya lita moja kutumia kusafishia dhahabu.
Pia jiulize je huyo alijiendea tu sehemu na kuanza kuchimba pasi na kufanya research ya udongo husika!??
Mie sikuwahi kupata dhahabu gram zaidi ya 400.
Mwisho wangu ilikua 400 grams.