concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
wanasahau huwa wanafungia bidhaa za washirika wao kwa sababu ya kuhofu ushindani ila kwa sababu ni mmarekani hawana usemi, yaan mtu atoe huduma tanzania ila asiwe na ofisi tanzania , yaan alipie kodi tu ila asiaajiri wakati kuna kampuni imeajiri watu maelfu kwa same taskSisi hatukurupuki tunajitambua sana