Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ally Star kapelekwa Master Fabricator. Expect a new face soon from Master.

Ally Star wamechoka na mikebe ya Mchina anataka vitu original and durable kutoka kwa Master Fabricator๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

View attachment 3109808
View attachment 3109809
mwendawazimu ww kapeleka ikafanye nn wakat ni bus la kichina 100% hebu niambie ww๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ebu tuambie Ally Star inafanya nini kwa Master Fabricator then.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 3109846
hebu ww tuambie inafanya nn maana mm naona inapita barabarani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

so hio picha inahusiana nn na unachokisema kondoo wewe

leta picha ikiwa ndani inaguswa hata tairi tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Eti walikuwa wanajipa moyo kabisa wanaizidi Tz kwa km of paved roads, thubutuuu! Linchi likubwa kama hili ambapo kanchi kao kanaingia zaidi ya mara mbili alafu mikoa yote imeunganishwa kwa lami na bado eti wawe mbele yetu, kama tutasema lami ya kutoka kigoma mpaka Dar tuiweke Kenya basi hakuna county itakosa lami Kenya.
kwenye maneno 100 ya mkenya chukua moja tu na hilo moja jitahidi usitazame nyuma na kabla ya kulala hata hilo litafakari vzr ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kisumu airport, better than hile Arusha Mabati mill by far.

View attachment 3109812
View attachment 3109814
Hii ni international airport au kibanda umiza? Em naomba budget yake kwanza
Screenshot_20240929-082911.jpg
 
Hii Konza kila siku ipo hivyo hivyo, hakuna nchi hapa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
mradi una miaka 18 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
yani kama ni mtoto basi yuko form five sasa hvi hata kuvua chupi anajua
 
Back
Top Bottom