concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Kwa sababu hutumiagi akili gauge ni upana kwahiyo inafanyia upanuzi tu kutoka cape gauge na kurekebisha maeneo yaliyokuwa korofi , na kwa sababu tuta la udongo lipo kinachoenda kutolewa ni mataruma ya reli na kupachika yenye upana zaid .Extension sio upanuzi. Your IQ is zero😂😂🤣😂.
Alafu Nani kakuambia ati rail ikifanyiwa extension inageuka from one gauge to another😂😂🤣😂
Haya yamefanyika sana huko dunian , gharamq inapungua kuliko ujenzi mpya na kingine ni kuondoa zile curves Kali.