ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
whatever lakini ndio mushakula bomba tayar😂😂😂This is the first time in 24yrs Tanzania imeshinda Kenya😂😂🤣😂
whatever lakini ndio mushakula bomba tayar😂😂😂This is the first time in 24yrs Tanzania imeshinda Kenya😂😂🤣😂
Imagine mmekuwa mkikula bomba from Kenya for the last 24yrs😂😂😂whatever lakini ndio mushakula bomba tayar😂😂😂
Sio tu ushindi hiyo ni fainali wewe bush boy. 😂😂😂 tumewalamba kwenye fainali.Baboon sasa mmefurahi ushindi moja after 20 yrs of kupigwa kila siku na Kenya. Ni kama Wigan kushangilia kufunga Manchester City😂😂
kumbe mumeumia sana 😂😂😂Imagine mmekuwa mkikula bomba from Kenya for the last 24yrs😂😂😂
Niumie because Tanzania imeshinda Kenya for the first time in 24yrs? Never. This year alone Kenyan teams zimepiga Tanzanian teams 8 times😂😂🤣😂kumbe mumeumia sana 😂😂😂
Mbona tuongelelee mavi ya kale.? Eti bush boy.? 😂😂Imagine mmekuwa mkikula bomba from Kenya for the last 24yrs😂😂😂
Kwani nini kimetokea?Sisi tuliwaambia mapema kwamba Tanzania ni football nation hatujui michezo mingine zaidi ya football na muziki, hatuna haja na michezo mingine ya kimaskini. Mtu unakimbia kilometa 10,000 alafu unapewa $2000 mshahara wa wiki moja wa mchezaji mdogo anayecheza ligi kuu Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii hii ya leo ni ya kale cause it’s 2 hrs ago. This year alone Kenyan teams zimechapa Tanzanian team mara 8. AMA huzijui nikuonyeshe?Mbona tuongelelee mavi ya kale.? Eti bush boy.? 😂😂
Aisee wew ni mkurya.? 😂😂😂 wewe ni kabila gani.?Hii hii ya leo ni ya kale cause it’s 2 hrs ago. This year alone Kenyan teams zimechapa Tanzanian team mara 8. AMA huzijui nikuonyeshe?
Unakimbia aibu.? 😂😂😂 tafuta hata pombe ya chibuku ikutoe mawazo.Let me watch Chelsea Vs Liverpool Wakati wachawi wanshangilia kushinda Kenya for the first time in 24yrs😂😂
Tanzania U20 imeipiga Kenya U40 kwenye fainali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwani nini kimetokea?
Sema leo mmebamizwa, hata kaka yako Riggy G anajua hilo ha ha ha😁😁Sawa, nimekubali ati after 24yrs of defeating Tanzania in football finally wamebahatika kupata ushindi moja leo.
Kwa hivo kitu kikishikana na CBD inaamanisha kipo CBD? Wacheni ujinga. Hapa ni CBD?Wewe acha kubisha vitu usivyojua. Ushawahi kufika Dar, CBD specifically? FYI Port yetu inaanzia Posta hadi Kurasini.
Wewe ndio mjinga kubisha usivyovijua. Ukiwa CBD una access ya Dar Port vizuri kabisa. Eti imeshikana na CBD wewe labda utuambie Kibera na CBD yenu ila CBD yetu hujui chochote zaidi ya hizo picha zako za Google.Kwa hivo kitu kikishikana na CBD inaamanisha kipo CBD? Wacheni ujinga. Hapa ni CBD?
View attachment 3130927
Ile walioshangilia wametufunga ni ipi?Tanzania U20 imeipiga Kenya U40 kwenye fainali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣