Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ndio mjinga kubisha usivyovijua. Ukiwa CBD una access ya Dar Port vizuri kabisa. Eti imeshikana na CBD wewe labda utuambie Kibera na CBD yenu ila CBD yetu hujui chochote zaidi ya hizo picha zako za Google.
Jamaa nilipumbavu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ linajitia ujuaji hadi kwemye vitu ambavyo halivijui kabisaa…
 

Huyu msumbufu atamsumbua sana Ruto akiwa nje ya serikali kuliko alivyokuwa ndani ya serikali. Ni mbwatukaji na mropokaji sana.

Aliahatoa shutuma hizo hizo akidai Uhuru anataka kumuua... Na kusema hata akimuua bhas asiwaguse watoto wake... Hiyo ili punguza nguvu ya ushawishi ya uhuru ndani ya Mungiki.... Sasa zamu yake imefika... Ana force kupata na uhuru ili waunganishe nguvu pamoja... Mungiki iwe against ruto na serikali yake..

Shida bado ni kubwa hapo kaskazini.. Bado karata za Ruto zimekaa vizuri.. Kuwaficha kwapani critics wakubwa kama Maraga na Atwoli.. Bado anamzuga mzee yule Baba kwa uchair wa AU... Ah

Huo moto ukilipuka itawachukua 10 yrs kukaa sawa.
 
Hahahahaaaa walituotea mechi ya mzunguko, unajua tuliwazarau, baada ya hapo tukapiga wote mpaka wao waliotuotea mechi ya mzunguko 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Ile mechi niliiangalia kwa makini kabisa, kimsingi sisi tulikua bora kuliko wao, walituokota tu.
 
Jamaa ni jitu jinga sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ limekomaa kabisa, kimsingi there is no way utaenda Znz kwa meli au boti bila kufika posta.
Eti yeye ndio anatuambia sisi Posta ni CBD ila hapo unapopandia boat kwenda Znz sio CBD. Hajui kuwa Morogoro road inatoka Morogoro hadi bandarini Dar? Yaani unanyoosha straight inaingia bandarini.
 

View: https://x.com/Kenyans/status/1848039184071573629?t=g8NhO0ktDXGdxlS3eneGag&s=19
 
Niliwahi sema kuwa Kenya kazi yao kubwa na kuzisema vibaya nchi jirani kwenye internet...

Yaani vita kubwa ya kuichafua Tanzania inayoendelea huko kwenye mitandao inayofanya na uninformed and Arrogant kenyans imevuka mipaka.
Anything about Tanzania...wao kazi yao ni kusema mabaya tu mengine ni uongo, mengine ni makosa yao...

Nadhani ndo maana Mungu anazidi kuwapunish na matatizo yasiyoisha huko Kenya. Negative energy inawarudia indirectly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…