SK2018
Senior Member
- Jan 6, 2018
- 156
- 149
Faith Kipyegon hukimbia mbio ya 1,500m. Ndani ya dakika nne amemaliza kazi. Anakimbia kama mara kumi mwaka mzima (competitive races).Sisi tuliwaambia mapema kwamba Tanzania ni football nation hatujui michezo mingine zaidi ya football na muziki, hatuna haja na michezo mingine ya kimaskini. Mtu unakimbia kilometa 10,000 alafu unapewa $2000 mshahara wa wiki moja wa mchezaji mdogo anayecheza ligi kuu Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tanzania vipaji vya mpira hamna. Ushindi mmoja ambao tayari tulikuwa tushawapiga pia with the same margin ndio mnajigamba nao. Acha tuone ni Kenya ama Tanzania ita-perform vizuri zaidi hiyo U20 Afcon.