Hilo la Chato no comment kaka,nipo katikati.Na Chato airport?
Na nina sababu ya kuwa katikati.
Hilo la Chato no comment kaka,nipo katikati.Na Chato airport?
Mkuu una sehemu naweza nikajisomea kuhusu uunganishwaji wa umeme kipindi Cha kikwete na magu. Itapendeza zaidKuweka tu umeme imemchukua Kikwete miaka 10 vijiji 2,000. Kikwete aliitaji miaka miaka 20 kwa kila vijiji 4,000 na miaka 40 kwa vijiji 8,000 na hapo anapokea zaidi ya $600M ya MCC toka USA. JPM kapiga vijiji 8,000 kwa miaka 5 tu.
Kuna baadhi ya vichwa maji wanajitoa ufahamu!
Mkuu ndo maana nasema hii mada tuiache tu maana kwa Sasa itaonekana ni siasa tu. Hivi unajua hata Sasa hivi barabara Bora kabisa Tanzania ya iyovi- makambako ilijengwa chini ya kikwete.Huko unazunguka sana aiseee.
Hivi miradi ya Magufuli unaifananisha na miradi ya kiongozi yupi mkuu??
Miradi ya Magufuli yote ni vital ambayo ingekamilika ni kuiinua hii nchi kiuchumi.
Ila miradi ya Kikwete mingi ilikua ya upigaji na unufaishaji wa mstaafu na genge lake.
Unakumbuka na sakata la Kurasini!??
Yule mkwere mwizi tu kupindukia.
Kuhusu la CAG sina comment juu ya hilo.
Ila miradi ya marehemu ilikua ni game changer aisee.
*Madaraja.
*SGR
*JNHPP/Stiglers gorge.
While Tanzania have Bigger GDP Surplus kuliko nyie mlio mara mbili?Yes, Kenyan economy is almost twice that of Tanzania.
Chombo hiyo. 🔥🔥🔥
Kwanza Nilikuwa nakushangaa kuendelea Kupoteza Mudawako KumjibuSinaga muda wa kupoteza, hawa wavamizi wa hii battle wanaotoka jukwaa la siasa kule sinaga muda nao, natembeza ban tu. Mtu anakuambia eti magu hajafanya kitu, anaakili timamu kweli huyo? Kabla ya magu hakuwahi hata kuthubutu kuanzisha battle, leo hii wamepata cha kuongea wanaleta jeuri, sasa napiga pini tu.
View attachment 3131872
Chuma kali sana duhChombo hiyo. 🔥🔥🔥
Tunapita refinary plant .Wese likichimbwa hapo yaani na palivyo Karibu na Bomba la mafuta la Tanga - Hoima , ni kama kumaukuma Mlevi
Kuweka tu umeme imemchukua Kikwete miaka 10 vijiji 2,000. Kikwete aliitaji miaka miaka 20 kwa kila vijiji 4,000 na miaka 40 kwa vijiji 8,000 na hapo anapokea zaidi ya $600M ya MCC toka USA. JPM kapiga vijiji 8,000 kwa miaka 5 tu.
Kuna baadhi ya vichwa maji wanajitoa ufahamu!