Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi hata Radi ikipiga iue watu Tanzania mnaweza sema mungu ni Mkenya. πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kubalini dunia nzima inawajua.
Enda ulilie South Africa. Wao ndio wameona Tanzanian homeless people kwa streets zao. Tukiwaambia mnatuita haters. Wacha muambiwe na wengine.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
This proves what I've always said about Tanzanians. Your hatred of Kenya is based on misinformation and inferiority complex. Yani Kila kibaya Cha Tz mnablame Kenya na mnaamini hivo. Sasa unapata mtu maisha yake yote amekaa Tandale hata hajawai kutana na Mkenya ila ana chuki dhidi ya Wakenya ajabu. Mtu akitokea popote aseme ukweli kuhusu Tanzania ambao hampendi mnasema eti huyo ni Mkenya.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yani ni Raha.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
What is this girl talking about?
Yaani opinion ya mtu mmoja?? Mi ndio kwanza nasikia kwake.
 
ww kweli ni kuchaa tena kinyaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 

View: https://youtu.be/a1UgKAzpgi8?si=gO1cwavMOzV98dw9
Media za Tanzania hazina hata habari na kenya
 
Stating facts sio chuki bro. Mbona Wanaijeria na Wazimbabwe na Waganda wametajwa na hawasemi ni chuki? Yani lazima mtu akuchukie ndio aseme kitu negative kukuhusu?πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa account yake anasema yeye ni Rwandese/Congolese. Hivi hujui Rwandese na Congolese wanaongea Kiwahili? Alafu yeye mwenyewe kasema haogopi Wakenya, hajasema yeye ni Mkenya. Kubalini hampendi kuambiwa ukweli na mna chuki dhidi ya Wakenya. Muache kuwa homeless nchi za watu. Mnatutusi humu tunafanya kazi za nyumbani kwa Waarabu wakati nyinyi ni ombaomba kwa nchi za watu. πŸ˜‚ πŸ˜‚

 
Wacha kujitia umuhimu nyie kunyans are nothing to us peleka ukaoshe kalio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…