Stating facts sio chuki bro. Mbona Wanaijeria na Wazimbabwe na Waganda wametajwa na hawasemi ni chuki? Yani lazima mtu akuchukie ndio aseme kitu negative kukuhusu?😂😂
Kwa account yake anasema yeye ni Rwandese/Congolese. Hivi hujui Rwandese na Congolese wanaongea Kiwahili? Alafu yeye mwenyewe kasema haogopi Wakenya, hajasema yeye ni Mkenya. Kubalini hampendi kuambiwa ukweli na mna chuki dhidi ya Wakenya. Muache kuwa homeless nchi za watu. Mnatutusi humu tunafanya kazi za nyumbani kwa Waarabu wakati nyinyi ni ombaomba kwa nchi za watu. 😂 😂