Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,848
- 24,773
Mkenya haezijiassociate na utanzania hata kidogo. Yani mkenya aache kubeba jina la Kenya mgongoni ajidanganye anatoka from a country with so many drug dealers?😂😂🤣Utahangaika sana mzee, the status of Tanzania in SA will never be the same as that of KENYANS!
Wewe endelea kulia tu......
Kule SA kuna mchi kama tano hivi wakishafika kule wao huwa ni watanzania ili wapate heshima, kuna wamalawi, wakishajia kiswahili Tu basi umalawi hawautaki tena, kuna wakenya wengi Tu wanajii bongoman kule, kuna waganda, kuna warundi....tena na hawa ndousiseme