Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukweli upi nyie mnayo haya tupe maelekezo Emu yenu mmefanyaje hadi haikwami porini
Sisi trains zetu hazikwami porini. Ni aibu kwa nchi kuwa na train inakwama mara nane kwa mwezi😂😂
 
Viti za train vinafanana na vya vibanda😂😂🤣

1730484621495.jpeg
 
Alinivaliaga kiatu hicho kimepinda kama kangaroo.
Nikamletea mfano wa kiatu kizuri nitakirusha humu,akadai chake kizuri alooo😂😂😂😂😂😂😂.
Uliogenzwa mshahara ama bado unalipwa gross ya Ksh15,000?😂😂🤣😂
 
Ona hii kuku,mie mkubwa wako shika adabu.
Kama ulikua wajua sanitization usingekosa kujua ni chemicals zipi zinaweza kuua vijidudu kiujumla.
Maybe wewe mkubwa kwa mwaka na umaskini lakini sio kwa uerevu? Kwa masomo ndio uko chini kabisa, wakati wanaume wenzako wanajitamba na PHD, Master and Degree wewe uko na Certificate from unkown institution😂😂🤣
 
Back
Top Bottom