Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

deni la kenya limefika 10.6 trillion ksh duhh ila msijali na sisi tunakuja huko huko kwa kasi ya ajabu sasa hvi tuko 100 trillion tsh soon tutashikana mikono pamoja 😂😂🙌🏻
 
Tanzania ikipata Kundustan Huwa mnaumiza sana 😂😂👇👇
Screenshot_20241110-093020.jpg
 
Msenge kweli wewe watanzania wamejua kabla hata wakenya hamjajua hiyo habari.
Tangu kutangazwa ataenda Cuba watz tushajua tatizo nini.
Msipende kujipa umuhimu wa ******* ambao hamuna.
Hata ya Magufuli pia mlijua before Kenya, sindio?😂😂🤣
 
Back
Top Bottom