ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
Kwani wapi nimesema ni mradi wa Mwendazake? πππ
Wewe hates ndio ulisema mradi ulianza kufanya kazi kitambo,onyesha Sasa mradi ukifanya kazi kabla ya SSH mbona unahamisha magoli?
Kumbe unajua Kila Nchi italipa Mkopo basi jua hayo ndio matumizi ya Trilioni 50.
Kazi inaendelea Hadi useme shikamoo Samia ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DCEOJ9Kt3jK/?igsh=MWlsaWhveG1pOGlsNA==
ππππππ»ππ»ππ»ππ»ππ»rudi hapa
kuna tozo za REA kwenye luku na mafuta haya tuambie hua zinaenda wapiππ umeme wote unaonunuliwa nchi hii 3% zinaenda REA haya tuambie sasa
View attachment 3150569