muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,855
Hata ile shule ya msingi Bunge ingeuzwa tu, maana ipo centre kabisa, na kitu kingine more economical kingefanyika, watoto wanatoka mbali kwenda kusoma pale, sasa shule zipo za kutosha, watoto wasome walking distance Tu kutoka majumbani kwao.shule za umma sasa inauzwa ๐๐๐๐
kuna shule moja iko pale kurasini naskia na yenyewe iko mbioni kuuzwa
kweli over 20b usd in 3 yrs inafanya kazi