ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
kifo cha airtanzania safari za nairobi sasa kimewadia , wacha muda uongee sasa😂😂
wenzetu wanajua kutuzunguka
View: https://x.com/RashdaZunde/status/1856639291625005447?t=nHaQ2RlROwQPymy4Fo2lsQ&s=19
My Take: Mambo kama haya ndio Sugu gang hawataki wanadai nachafua Uzi 😆😆😆😆
Kasarani Progress. They will not believe. Kasarani will be iconic.
View: https://youtu.be/F6Jx_GUHSpo?si=rxeQrUWXVfRJVDVQ
huo undugu ndio unakufanya uwe na ushawishi mkubwa africa leo unafurahi export kubwa kwenda uganda, rwanda na sadc bila huo undugu unafkiri hio nafas ungeipata wapi mjinga wewe😂😂😂😂Nae alikuwa na mawazo kama Yako badala ya kuangalia atanufaikaje.
Ethiopia inajenga Barabara Sudan Kusini Kwa malipo ya Mafuta.
Uganda inajenga Barabara DRC na Central Africa Republic Kwa makubaliano ya Mkopo
Tanzania tunafanya Bure eti tunadumisha udugu, upumbavu
sasa ile reli ya malaba itakuwaje, hapo inabidi museven aje tu bongo maaana hata importation ya uganda from tanzania ishafika over 1b usd
View: https://x.com/BD_Africa/status/1856170754104004770/photo/1
Ati Stadiums zote ziko Nairobi. So all counties in Kenya siku hizi ni Nairobi? Ama ni vile umeona how Kasarani is coming ukashikwa na baridi?😂😂Nchi ya matope kweli maana stadiums zote ziko Nairobi halafu wanajitapa devolution!
Kenya is controlling everything in Tanzania. Their skies are full of Kenyan airlines such as KQ, Jambojet, Precision Air and now Skyward Express.
View: https://x.com/KenyaAirports/status/1857105714679779357
Tutakula ushawishi? Nonsensehuo undugu ndio unakufanya uwe na ushawishi mkubwa africa leo unafurahi export kubwa kwenda uganda, rwanda na sadc bila huo undugu unafkiri hio nafas ungeipata wapi mjinga wewe😂😂😂😂
unafkiri nafas ya kua SADC ungekua nayo leo kama sio undugu na kua bega kwa bega na nchi za africa, unafkiri hio tazara ingekuwepo leo??? unafkiri leo china angekua rafiki wa kweli kwa tanzania kama isingekua nyerere kuwasaidia chakula kipindi wana hali mbaya
kasome history alaf unaangalia faida ya leo na kesho wenzako waliangalia faida ya miaka 60 ijayo ndio maana leo unafurahia urafiki na mchina na nchi za africa ikiwemo sadc etc
Wivu 😁 😁hii ndio official source yako so na mm niandike nachojiskia twitter alaf nilete hapa au???😂😂😂😂😂😂
yani una akili za kuku wewe
Hakuna kubeba inefficient shirika,wapambane kwani wenzao wanaweza wanafanyaje?kifo cha airtanzania safari za nairobi sasa kimewadia , wacha muda uongee sasa😂😂
wenzetu wanajua kutuzunguka
50T at work 👇👇alaf kuna tozo za miamala zinaenda TARURA 😂😂😂😂😂😂
3 yrs over 20b usd zimekopwa hahahahha
Acha uzushi unashikiwa akili ,wakali.wa wapi wakati Toka juzi nakuonesha ukarabati wa shule?baada ya watu kua wakali au sio baada ya jamii kujua ukweli kua shule ilikua inauzwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
aibu yangu au aibu yenu nyinyi 😂😂😂
eti shule ya umma inauzwa alaf wazazi wanaambiwa wakatafute shule nyingine karibu, siwangeuza tu sasa wameona aibu gani??????
Bila Msaada wa Mabeberu hata mtoto wako atakosa chanjo na utamfukia huku ukiomboleza kumlaumu shetani.👇👇kwani huyo mchina tunaemlilia kila siku yuko wapi?? au hayuko BRICS??
ww sometimes unakuaga kama mwehu vile kwa taarifa yako BRicS ndio kimbilio la mataifa yote duniani kwa sasa, siasa za kidunia zishabadilika na watu wameshaona mbali sana
unasema BRIcS haina msaada na tanzania wakat kutwa tunaramba makalio ya mchina hapa 😂😂😂😂😂😂
hao mabeberu mpaka sasa hvi wamekupa msaada gani ?? wakat madini yalikua yanaibiwa hapa mpaka changa unasombwa alaf umekaa hapa na ubongo umejaa funza ukisema wanamsaada na tanzania wakat wanakupa shs 10 wanachukua mabilioni 😂😂
ukipinga ushoga wanakunyima mikopo alaf hawa ndio wenye msaada na tanzania ???? kunguni kweli wewe
unafurahia matunda sasa hvi alaf unajisifu unaakili 😂😂😂😂Tutakula ushawishi? Nonsense
wivu mm wann utanisaidia nn hapa tunaongea facts unafkiri bila kuweka mazingira wezesh kwenye sekta ya afya aliofanya mageuzi makubwa sana magufuli haya unayoyaona leo yangekuwepo, hospital za umma zilikua hazina hata panadol alaf leo tumesahau mageuzi makubwa alioyafanya, hakuna sekta inayofanya vzr nchii ambayo haina athari ya magu hakuna na haitakuwepo