maendeleo gani?? ya kumalizia miradi au maendeleo gani unayosema ww ??Kuna Rais amemwaga maendeleo Nchi hii kumzidi Samia? Yupi hiyo?
View: https://www.instagram.com/reel/DCa1S2Pt0tD/?igsh=a3FmMDc1ZDNkeW4w
Ni mwendo wa lama Vijijini za Samia ππ
View: https://www.instagram.com/p/DBdklV1tGrJ/?igsh=MWFyMjlsNmtsYTEzaw==
tusiwacheke kwan hata sisi tuna mzigo mkubwa sana mbele yetu ππππ
nimeona finance ni halmashauri ya ilemelaHuu ni mradi wa kuboresha miji Tanzania under Central government inaitwa TACTIS kama sijakosea.
Anafikiri Japan mjinga. Mbona magari ya Uganda yanapitia Mombasa lakini bado wametoa stats za magari yanayoenda Uganda from Japan.tuletee ushahidi tunasubiri πππππ
Wewe ndama kwa dola moja mimi napata kilo 2 za unga wewe unapata kilo 1 nani ana purchasing power kubwa hapo? Au elimu yenu inawadanganya kuwa purchasing power inakuwa pegged to the strength of a currency? Mama ngina education ni mavi kabisa.Hivi unajua maana ya purchasing power wewe ng'ombe?ππ
Tanzania's education is shit.
Najua hampendangi kuambiwa ukweliπππ€£.Anafikiri Japan mjinga. Mbona magari ya Uganda yanapitia Mombasa lakini bado wametoa stats za magari yanayoenda Uganda from Japan.
List inachukuliwa from the bill of lading kama inaenda Malawi bill of lading itasoma gari inaenda malawi, Lilongwe port of discharge Dar es salaam. Hivyo hivyo kwa Ugandan cars bill of lading itasoma for instance Kampala, Uganda port of discharge Mombasa.
Unataka kutuaminisha kuwa wa dutch hawamiliki KQ ama unamaanisha nini hapa?Unalinganisha 7.8% na 41%? Uko sawa akilini?ππ
Hapa tunaongelea individual purchasing power and not currency purchasing power.Wewe ndama kwa dola moja mimi napata kilo 2 za unga wewe unapata kilo 1 nani ana purchasing power kubwa hapo? Au elimu yenu inawadanganya kuwa purchasing power inakuwa pegged to the strength of a currency? Mama ngina education ni mavi kabisa.
Umia tuu mimi sijali hata ukifa.Levels za kuimport 30yrs old cars?
Ethiopia wepesi kocha alileta mauzauza tuu kaacha wachezaji kibao muhimu kwenye mechi za mwanzo ndio kawaita sasa hivi hapa tulipo ni pa kujitakia tuu.tusiwacheke kwan hata sisi tuna mzigo mkubwa sana mbele yetu ππππ
Safaricom ownershipUnataka kutuaminisha kuwa dutchess hawamiliki KQ ama unamaanisha nini hapa?
We kiazi purchasing power inakuwa measured na reference currency and the same currency is compared in purchase of basket of goods and services in multiple countries.Hapa tunaongelea individual purchasing power and not currency purchasing power.
We kondoo kumbe naposema with one dollar napata 2kg unga na wewe unapata 1kg si namaanisha individuals au wewe uwezo wako wa ku articulate vitu ni mdogo?Hapa tunaongelea individual purchasing power and not currency purchasing power.
It is a foreign owned company πSafaricom ownership
Kwa mentality Yao safaricom sio kampuni ya kikenya sababu Ina hisa za 40 huku ikiwa ndo inaongoza kwa kuwa na shares nyingi
Our shareholding structure changed during the year and is currently comprised of the Government of Kenya (35 per cent), Vodacom (35 per cent), Vodafone (5 per cent) and free ο¬oat (25 per cent).
Almost 50% growthTeargas ikufikie huko kibera slum ππ
View: https://www.instagram.com/p/DCV7QD5IoHJ/?igsh=OXBzaHV5bGI0MHMyCc ichoboy01
Misplaced priorities π€£π€£π€£Hivi ruto must go ilishia wapi maana Luos wengi mlikuwa butchered mfano yule mdogoake omondi lakini ruto anadunda tu au ndo vile tena maisha ya mkenya hayana thamani?
Hata lile ghorofa lao linaloangalia msimbazi road wangelivunja tuu kama sio protected buildingMall kubwa zaidi katikati ya Dar under construction (DDC Kariakoo) ππ
View: https://www.instagram.com/p/DCLoFmwsVED/?img_index=5&igsh=MWhyZzI1dHp5ejQ3Yg==
Kuna jamaa mmoja kasema yeye anafanya kazi bank na anajua wafanyabiashara wengi wa Tanzania wamekimbilia Uganda. Tukamwambia alete ushahidi kaishia mitini.Kwani Kuna tatizo mtu akifungua biashara nje ya mipaka ya nchi yake!?
Kwani mnalenga nini mkuu maana Bado sijawaelewa.
Akijibu natoka JFKwa fact ipi mzee.? Umeulizwa kenya kuna train za umeme.?
Lete kama hiyo from developed Kenya πTrain ya 160km/h ndio unaita bullet train? This is a slow train wewe watchman.