Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Are you aware that Tanzania only have 12,000km of paved roads while Kenya is already at 23,000km? That's double of what you have in backward country. Jengeni barabara muache kuwa na highways za matope na vumbi.
Hizo barabara unataja mko nazo tukiziomba utazileta.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ au hizo km 23k ni za vumbi.?
 
Hizo barabara unataja mko nazo tukiziomba utazileta.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ au hizo km 23k ni za vumbi.?
I donโ€™t argue with baboons.

IMG_0519.jpeg
 
Pole Kwa ujinga wako, Tarura Haina fund ya tozo ya miamala Bali tozo ya Mafuta,fake mind.

Je hiyo ndio source pekee ya Tarura? Unajua hizi lami za Vijijini zinajengwa Kwa tozo Yako? RISE ni tozo ya miamala? Wacha kuropoka.

Trilioni 50 at work in Iringa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCJCm4pN84N/?igsh=bmJ1a2k4bDVlNTdn

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

so ulidanganywa tozo ya miamala inakwenda wapi???

au tuseme tarura iko kwenye madeni pia ??
 
Weka zako wewe hater?

Wacha wivu wa legacy kuzikwa ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Trilioni 50 at work ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCX_OvKoLY0/?igsh=MWI3djQybHluajc5cQ==

hayo madini unayojisifu nayo leo bila maamuzi magumu ya kubadilisha sheria na kujenga masoko ya madini unafkiri ingekuaje ???๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

au ww unafkiri ilikuja kwa bahat nasibu tu, fact haitabadilika hata ufanye nn, jamaa hayupo miaka mitatu na bado anawajambisha tu
 

wametenga kutoka kwenye mfuko gani niambie miradi inayofanyika usinambie miradi ambayo haipo ni hewa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

shida yako ww una mihemko sana ukipewa fact hutaki

over 20b usd ndani ya miaka 3 alaf tunajisifu tunakusanya kodi na tozo za kila aina ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

leta miradi ya over 20b usd in just 3 yrs tucheke pamoja
 

soko linajengwa na serekali kuu au halmashauri hapo sijaelewa bado ??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

leta miradi ya mikopo ndani ya miaka mitatu ya over 20b usd alaf tuendelee kujisifu tunakusanya kodi na tozo za kila aina ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

tuna waziri yuko kwenye fedha nae anamiliki team ya mpira hahahahah
 
Back
Top Bottom