Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,848
- 24,773
Embu tuwekee hizo buses za public zikiwa kwenye public stations tuzione tusije tukawa tunabishania kitu ambacho hakipo 😁Ebu tuonyeshe hiyo tucheke kidogo. Alafu basi za public transport tunazo pia, ama umeskia watu hutembea kutoka town kuenda makwao?
Watu hawana hata CAF approved stadium unategemea ni watu wa football kweli hao.Minyang'au imeshalambwa huko bao moja na wazimbabwe. Teargas upo?
Mlisema hatuna public buses, na umebadilisha gear?😂😂🤣Embu tuwekee hizo buses za public zikiwa kwenye public stations tuzione tusije tukawa tunabishania kitu ambacho hakipo 😁
Yet Kenya ranks higher than Tanzania in any football ranking.Watu hawana hata CAF approved stadium unategemea ni watu wa football kweli hao.
Nani apake gari rangi za hovyo hivyo.? Hili sio taifa la vichaa kama huko kwenu.Hiyo painting ndio mmekuwa mkijaribu lakini creativity imewashinda mkabaki na kubandika tu stickers😂😂
Hizi ni takataka gani tena.? 😂😂😂Wakati Tanzania still have many highways that are not tarmacked, this is the kind of roads in Kenyan poorest region.
View attachment 3153151
Wewe baboon mamako alishakupea jibu ya mwenye alikuwa babako?Nani apake gari rangi za hovyo hivyo.? Hili sio taifa la vichaa kama huko kwenu.
Hizi ni takataka gani tena.? 😂😂😂
englisha medium alaf private 😂😂😂😂Kwani Mimi sikukuletea ushahidi wa Ujenzi upya wa shule? Shule ya Watoto wa kawaida inageuzwa English medium ya serikali na hapo kulipia kunaanza hicho ndichi kimefanyika ila nyie wazushi msivyojielewa mnakuja kusema eti imekuwa, nonsense
Kundustan someni namba 👇👇
View: https://x.com/femagaz/status/1857397090860904719?t=kEgQsnBgubbPNqUZq2fp8g&s=19
Miraa ndio Huwa inafanya mnauana kwenye maandamano? Huna akili 😆😆100 sucks of Maize is less valuable than 1 suck of Miraa.
Arusha region iko na barabara km 1494 kati ya hizo 478km are tarmac roads (hizi ni zile barabara za Tanroads pekee). 👇🏾
View: https://youtu.be/mK9ulH98HdI?si=qMZU6WGs101x0z3b.
Kwani ugali ndio huwa inafanya tuandamane?Miraa ndio Huwa inafanya mnauana kwenye maandamano? Huna akili 😆😆
Ona hili fala kumbe ni kitu gani? 😆😆Kwani ugali ndio huwa inafanya tuandamane?
Wewe ni mgeni na English medium za serikali ambazo Wananchi qanalipia kama private? Nikuoneshe zingine? Wacha kuwa mjinga basi ushazeeka.englisha medium alaf private 😂😂😂😂
mbona wameacha kuuza sasa