Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

High cost of living manake ni nini?

Huna akili
High cost of living is high prices of commodities with the main one being Petroleum and housing. Ama mtu ati high cost of living ni ugali? Wewe ni fala no wonder watanzania wenzako wanakudharau.
 
Every Part of Nairobi is currently a construction site.

Westlands.
IMG_0757.jpeg
 
Are you aware that Tanzania only have 12,000km of paved roads while Kenya is already at 23,000km? That's double of what you have in backward country. Jengeni barabara muache kuwa na highways za matope na vumbi.
 
Nakupa taarifa kwamba pamoja na kwamba umedanganya ila nakufahamisha kwamba hizo km.ni za TanRoads tuu ,hapo hatujaweka za Tarura zaidi ya 8,000
 
Mzitoe wapi wakati ndio kwanza mnajenga saizi? Hunaga akili wewe
Uzuri unaongea na machungu wakati mimi nakudunga na facts😂😂🤣👇👇

Total number of Hospitals in Tanzania is only 8,881
Screenshot_20240310-193534_1.jpg

Total number of hospitals in Kenya is twice that of Tanzania at 16,517

Screenshot_20240310-195535.png
 
Back
Top Bottom