Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku wataamka watapata sisi tishafika mbali sana. Acha viongozi wao wafikirie kuhusu instagram😂😂🤣👇👇


Huyu jamaa naye kasema ukweli kabisa.

View: https://x.com/IAMartin_/status/1857680543699063264

Kwani hatuvutii viwanda? Unadhani wizara zote zipo kwa lengo moja tu. Upuuzi mtupu.

Kila wizara ina majukumu yake ukitaka viwanda ipo TIC, TANTRADE, WIZARA HUSIKA, NCB, etc nenda huko kuna Kongani za Viwanda.
 
Hii kwa akili yako finyu ni 2022?

View attachment 3154514
Ebu fungua hiyo document tuone inaongelea subsidy ya mwaka gani, ama unaogopa kufungua tukusaidie?

Ndio hii content of that document, subsidy ilikuwa 2022 when Uhuru was still the President 😂😂🤣👇👇👇

IMG_0761.png
 
Kwani hatuvutii viwanda? Unadhani wizara zote zipo kwa lengo moja tu. Upuuzi mtupu.

Kila wizara ina majukumu yake ukitaka viwanda ipo TIC, TANTRADE, WIZARA HUSIKA, NCB, etc nenda huko kuna Kongani za Viwanda.
Do you know why Tanzania is still not considered industrialized country in Africa? It’s Because you still have primitive mentality.
 
Back
Top Bottom