NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
Hivi tunaongelea ukubwa wa Estate ama quality ya infrstructure? Si ni wewe unashinda humu ukisema Nairobi hakuna horizontal infrastructure? Sasa hiyo Mbezi unaweza fananisha na Rosslyn? FYI, Estate zote za Kifahari za Nairobi ziko hivo, sio Rosslyn tu. That is including Karen which is bigger than all your high end neighborhoods combined and way bigger than Mbezi. Runda hii hapa. Nionyeshe barabara moja isiyo na lami nihame huu uzi.Hii estate yako ni ndogo sana kwa Mbezi beach. Mbezi beach is not just a residential area but also a commercial area.
Coincidentally hiyo Marangu naijua vizuri sana.Halafu hiyo estate yako inafanana na vijiji vya Marangu huko Moshi kilimanjaro. Mazingira na kukata maua vinafanana
View: https://youtu.be/ZEAXaICiIn0?si=Xj9Eq9V4-wWBeurA
Nimekwambia unaona 7000km ni nyingi kisa hapo Dar barabara ni mainroad pekee. Wewe unajua a grid of roadwork vile inavyokua barabara ndefu ukiiweka kwa straight line?Dar is almost thrice Nairobi in size. Huwezi niambia Nairobi ina km 7000 nikakubali...nawe utakuwa haureason kukubali kuwa That town with 696sqkm ina lami 7000km.
Unachukua picha za kibarabara kimoja kimoja ukishare eti Nairobi ina pothole. Alafu picha zenyewe ni barabara za lami zilizo na pothole wakati most of Nairobi roads are in good shape. Meanwhile, hapo Dar unapata mtaa mzima wa kifahari barabara zote ni vumbi na unaona uko sawa. Ajabu ya kipofu kumcheka chongo.Na bado kuna maeneo kibao ya Nairobi hayana lami. For instance hii japo hii tv wanareport kikuyu. Ushenzi tu
View: https://youtu.be/Up0N_PHJRfw?si=5AS0TsgcPIvGbPjE
Hapana hatujawin. Ila Tumequalify mara tatu mfululizooooooooooooooooooooooMshaiwin any game in AFCON?
Sawa punguza maneno ya kwenye kanga.Mbona niumie? Kuna vitu za kuniumiza and Tanzania is not one of them.
Talanta alafu hamujulikani mlipo AFCON? Watu wanaenda weka heshima kuwa wana haki ya Kuhost mpo mnazurura viwanja vya watu.Na Stadium gani?πππ
Opening and Final Match will be at Talanta Stadium, the only football stadium in East Africa.
Tutolee usenge hapa.Ngoja nikuharibie zaidi. Ni hivi kadiri unavyoweka chuki Kwa SSH ndivyo unampa baraka.
Samia ana nyota Kali sana na Bado mtaona mengi Mazuri yajayo ,hii inaitwa usiyempenda kaja.ππ
View: https://x.com/shaffihdauda1/status/1858890086118506546?t=fWVg7Gq5fVmlLvHPHutFnQ&s=19
Amecheza yeye?Kama hujui alivyoingia utatumia sana na Bado Mzee hapo hujasema ππππ
View: https://x.com/Mashibe_Jr/status/1858894085433499758?t=S6ub2Q3rO9Uv8VFMFeJO0A&s=19
Yani jamaa anaokota kibarabara kimoja tena huko marikiti kwa mikokoteni kina pothole anafanya inakuwa issue kubwa yet kwao mtaa wa kifahari barabara ni moja. Just imagine Nairobi kama Muthaiga ingekuwa na barabara za vumbi. Imagine ile maandamano inaweza tokea. π πI think Tanzania hakuna concept of tarmacking inner and feeder roads, hao wanadhani only Highways ndio zinafaa zipigwe lamiππ
2027 we will have two best Stadiums in East Africa, thatβs Kasarani and Talanta. Nyinyi what you will host I maybe hizi matches za kawaida.
Two best Stadiums. Nyang'au bana alafu haupo KWENYE JUMUIYA YA MCHANGO WA AFCON 2027 utakaofanyika MORROCO 2025.2027 we will have two best Stadiums in East Africa, thatβs Kasarani and Talanta. Nyinyi what you will host I maybe hizi matches za kawaida.
We nawe nini?Yani jamaa anaokota kibarabara kimoja tena huko marikiti kwa mikokoteni kina pothole anafanya inakuwa issue kubwa yet kwao mtaa wa kifahari barabara ni moja. Just imagine Nairobi kama Muthaiga ingekuwa na barabara za vumbi. Imagine ile maandamano inaweza tokea. π π
Bro, either you're sick or you have the kind of patriotism that is sick. Yani uangalie hizi video alafu useme barabara ya pili ni high quality with pedestrian walkways na barabara ya kwanza ni low quality without pedestrian walkways? Punguza bangi bradhee. π π πAise nimeziangalia hizo barabara za hako ka estate/ mtaa ambao ni extension ya Runda by the way...kwanza ni low quality na hazina pedestrian walkways wakati ni residential area. Halafu mnaita poshy and rich.
Hebu twende kwa richest in Dar mbweni. Utazame barabara zilivyo na sidewalks, wide, clean etc....
NB. Mbweni=Runda, kitsuru,Giligil,karen, Rosslyne, Ridgeway, windsor and Muthaiga. Huku kwetu tunaita mitaa hiyo ndani ya kata/ward mfano Mbweni
I lived In Nairobi and I know what am writting