buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,119
Umia mzee hakuna namna ulikua umeandaa maneno mengine tusingepita. Endelea tu. Tupo Morroco live 2025. Usisahahu kulipia king'amuzi.After kufuzu mtafanya nini huko? Ama unasahau Tanzania haijaisha Sa any game ya AFCON? Hao wote wenye unataja have won so many games.
Usisahau pia madogo walienga AFCON kwa kuwapaka mafuta nyie.