Maybe kama unapenda ubishi.Nimetazama video ya hiyo mbweni and I can confidently say that most Nairobi neighborhoods has better roads kuishinda. Even Milimani in Kisumu imeishinda mbali.
My friend Milimani Kisumu is far better than Mbweni, just go to YouTube and feed your eyes. So sijui mbona unajaribu kuilinganisha na estates za Nairobi.Maybe kama unapenda ubishi.
Hawa wazuri wa kupika data na kuamini data za kijinga!Kenya tumewabetia mnamfunga Namibia,sasa ole wenu msishinde!!
wajina wako katufanyia mamo makubwa toka mechi iliyopita hongera kwake na kwa taifaTumefuzu 🇹🇿
Afu wachawi wa kaskazin wanasema wametuzidi kimpira
Hata wakishinda haina mana washatoka hao non football nation.HURREEEE IT'S OVER tumeenda tumewafunga bwana majirani na ninyi mkazeeee
Alooo sikujua kumbe hata wasicheze haina maana haaahaa midomo wana mirefu sana hawaHata wakishinda haina mana washatoka hao non football nation.
Lakini amekosa magoli mengi, mechi ilikuwa imeisha mapema.wajina wako katufanyia mamo makubwa toka mechi iliyopita hongera kwake na kwa taifa
inauma eeeh ndio ukimombea jirani yako mabaya majibu huwa hiviSo nijifiche because Tanzania imequalify for AFCON they going to end walose games zote? Hata haiezinisumbua akili.
Hamna kitu hao, kazi yao kuiombea mabaya Tanzania kule afcon wakati wenzao tunazidi kuizoea michuano mana tunaingia kila siku.Alooo sikujua kumbe hata wasicheze haina maana haaahaa midomo wana mirefu sana hawa