buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,119
Kwenye jengo la Mchina sio?
Kwenye jengo la Mchina sio?
Developed in What exactly kijana?Yet Kenya remains to be the most developed country in East Africa currently.
Kama ni ya wakenya mbona serikali yenu haijiwezi yaani inakopa kulipa mishahara na deni tena na ukitoa mchina kuna IMF mpaka Finance bills inakuja eeh.60% of Kenya’s debt ni ya wakenya compared to only 5% ya Wachina. Tanzania 80% of their debt ni ya foreigners Kenyans included.
Mpumbavu sanaSio kweli mkuu wachina imf wasingegoma kwakopesha pesa za reli na kuwapa masharti magumu na mikopo mingine mshadefault
Unajisumbua tu na viexcel vyako wakati kila kukicha mpo barabarani kulalamika maisha magumu. Serikali inakopa, finance bills zinazokuja mkidefault debt.By late March Kenya’s local debt was already at 50.3% while External was at 49%
View attachment 3156835
Lini?Hiyo michuano ndio tuliwapiga bao tatu.
Mna circulation gani huko ukunyani? Ikiwa kila vitu mnavyotumia ni ancient? Wakora wengi.Hawa watanzania hukuwa na ujinga sana, ati sasa huyo chokora Ana jaribu kulinganisha money circulation in Kenya with their poor country, so to try and make it comparable anachukua money circulation ya whole year ya Tanzania analinganisha na money circulation ya Kenya one month😂😂
Tangu lini Movenpick Hotel ikawa jengo oa mchina?Kwenye jengo la Mchina sio?
Everything.Developed in What exactly kijana?
I usually know kwamba nyie ni failed state.What do you usually know? Vocabularies hujui, technology hujui, economics hujui. What do you know?
Upo hapo?Tangu lini Movenpick Hotel ikawa jengo oa mchina?
Maybe mamako ndio amefail.I usually know kwamba nyie ni failed state.
Tuletee any Infrastructure mliyo ahead of us
Matusi kama kawaida yako sio, ndio unachojua?Maybe mamako ndio amefail.
Nimekutusi aje? Ebu sema vile nimekutusi.Matusi kama kawaida yako sio, ndio unachojua?
Kenya is ahead of Tanzania in every positive thing.Tuletee any Infrastructure mliyo ahead of us
I don’t listen to gays.Mithali 12:15
Njia ya mpumbavu huonekana sawa machoni pake mwenyewe, bali mtu mwenye hekima husikiliza ushauri.