Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

60% of Kenya’s debt ni ya wakenya compared to only 5% ya Wachina. Tanzania 80% of their debt ni ya foreigners Kenyans included.
Kama ni ya wakenya mbona serikali yenu haijiwezi yaani inakopa kulipa mishahara na deni tena na ukitoa mchina kuna IMF mpaka Finance bills inakuja eeh.

5% inaendesha nchi kama zuzu mpaka Maandamano, kuua, bado Taxes mnapangiwa.

Una source ya kuwa our 80% Debt ni zamchina while tuko Nyuma yenu kwa wanaodaiwa na mchina 🤣🤣
 
Mna circulation gani huko ukunyani? Ikiwa kila vitu mnavyotumia ni ancient? Wakora wengi.

Mkiguswa hata 50bob tu mnakuwa wehu mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…