Ila we jamaa ni kilaza na ni mpumbavu wa kufa mtu. 😂😂😂 hizi takwimu mbona zinakuumbua sasa.? Wewe umedai ni 10k km .? 😂😂 haya heb tuone ni hivyo.? Jedwali hili hapa.
View attachment 3157684Takwimu za 2021 ndio zimeeleza idadi ya barabara zote zinazomilikiwa na Tanroads all around the country.
2021 statistics (barabara za lami)
Barabara kuu zimatajwa = 9,058
Barabara za mikoa = 2,228
Barabara zinazounganisha wilaya na miji mikuu = 2,274
Je ni sawa na 10k km of roads accorfing to this poor boy
Teargas .? 😂😂
Haya njoo kwene hesabu chukua 9,058+2,228+2,274= 13,560km of roads.
Mind you, hizi ni statistics za Tanroads tu. Tena ni za mwaka 2021 huko.