Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

According to you, sindio?😂😂😂

Your government says otherwise, Kilimanjaro imeshindwa hadi na Kisumu airport with domestic travelers alone😂😂

Zanzibar 1.9M
Kilimanjaro 787k

View attachment 3157667
Embu acha utani kijana unaleta data za wakati wa COVID ili ujifurahishe. Tourism is booming in Tanzania.
 
Trains za kukwama msituni?😂😂
Umeishiwa hoja. Umeanza kutoa vioja sasa. Leo tu umepata bahati ni po free. Hiyo M1 nani alikupatia msaada 🤣🤣🤣🤣

1732193250394.png
 
Your country can’t even pave 15,000km of roads.😂😂
Hayo ni mawazo yako na wakenya wenzako. Has nothing to do with The United Republic of Tanzania.

Kama mnashindwa kulima mahindi tu. Mambo ya barabara mtayaweza 🤣🤣🤣

Mnategemea msaada toka USA na China
 
Embu acha utani kijana unaketa data za wakati wa COVID ili ujifurahishe. Tourism is booming in Tanzania.
So 2023 ilikuwa wakati wa CoVID. Kwani ni lazima tu mpinge kila kitu?😂😂😂


Hizo Arrows huoni zimepoint 2023?😂😂😂👇👇

IMG_0777.jpeg
 
Day dreaming Girl
Take all the Burundian Cargo that passed through Kenya and Tazania alafu uniambia jumla ni ngapi, ikifika 610k tonnes uniambie😂😂😂👇👇👇

1732193491781.jpeg
 
Hizo ni feature za Malaba to Kampala tuu the rest will be 35 tons per axle.
According to you, sindio? 😂😂😂

Bro, sio lazima upinge what you don’t know😂😂
 
TARURA only have 2,000km of completed paved roads and planning to achieve 3,000km by this year😂😂👇👇

IMG_0786.png
 
Na kama kweli Uganda atajenga reli yake ya umeme kuunganisha na reli ya makaa ya mawe ya kule North basi nitaamini kama sio JPM basi hata bomba la mafuta lingepita Kenya, hii iwape ufahamu wale jamaa zetu wa kusifusifu ujinga kwamba vitu havitokei kwa huruma na kujuana inatakiwa vipambaniwe, muwe na ushawishi na maarifa kama ya JPM. Na hiyo ndiyo sababu wakenya wengi hawataki hata kumsikia JPM coz kawaharibia future.

Just imagine reli aliyobuni yeye for a short period of time imesafirisha abiria inayokaribia idadi ya abiria waliosafirishwa na reli ya makaa ya mawe kwa miaka 8.
Kipande cha Malaba to Kampala Uganda hana ujanja zaidi ya ku match specs za Kenya in terms of axle load. But other sections of Uganda rail will be of different specs.
 
TARURA only have 2,000km of completed paved roads and planning to achieve 3,000km by this year😂😂👇👇

View attachment 3157886
Zinaendelea kuongezeka na kufika 2,000 tena 🤣🤣🤣🤣from 1000.
Wewe si ulileta za 2023. Unaleta za 2022 zikiwa zimeongezeka
Stupid Kundudweller
 
Zinaendelea kuongezeka 🤣🤣🤣🤣from 1000.

Stupid Kundudweller
Your country only have 10,000kmof paved roads😂😂😂.


Alafu hiyo report nimegoa kwa link ulinipea😂😂
 
Mzee umeshindwa kuleta barabara yenye urefu wa 1000km? 🤣 🤣 🤣
Waulize wakenya wenzako kila siku wanapita barabara hii wakienda South Africa.

View attachment 3157798

This road is not fully paved, kama unapinga Leta video evidenc

Wasikilize wakenya wenzako... they travelled 1200km in Tanzania without see any pothole...and all roads are tarmac.
Wanasema wenyew kuwa Tanzania has best roads compared to kenya

Nyinyi wakenya wa eldoret ndo mko hapa mnasema Nairobi alone has 7000km😂😂


View: https://youtu.be/N_5vVmMg5tw?si=QMazkDz_dChJ1OoZ
 
Back
Top Bottom