What are you trying to write bwana Methuselah.Mbona wasi-surprase Kundustan yenye njaa?
πππUnaweza pita number 1 kabla upite number 2? Una kichaa wewe?
Glad umekuja mwenyewe ππ sasa fanya hivi, chukua hizi ππΎ
Point zimeongezeka mkuu na kuna nafasi za kupanda.kuongezeka sana hapana itategemea ni hatua gani tutafika kama ni yale yale yakuishia makundi basi ujue hatutopanda sana
Mbona hiyo haziko kwa plan yao? Ama wewe uko na plan yako yenye unajua pekee yako?ππππ
View: https://x.com/InfraUganda/status/1859561159004708873
Zote zipo kwenye mpango wa misaada ya vyakula wa WFP.πππππππ
Mko na 10,000km wewe baboonπππ. 10,000km za Tanroads plus 3,000km za TARURA when the total is rounded off mnarudi 10,000kmππGlad umekuja mwenyewe ππ sasa fanya hivi, chukua hizi ππΎView attachment 3158041changanya na hizi. ππΎView attachment 3158043.. hesabu itakuja hivi.
TARURA 3,337 km lami
TANROADS 13,660 (2021 complete data)
3,337km+13,660km= 16,997. = 17,000 km.
Hivyo basi kwa data tu za Tanroads za 2021 + data za TARURA 2023. Ni dhahiri shahiri ya kwamba kuna barabara za lami 17,000km in Tanzania. πππ
Me nilishamaliza kuweka sawa we endelea kutanga tanga sasaπππMko na 10,000km wewe baboonπππ. 10,000km za Tanroads plus 3,000km za TARURA when the total is rounded off mnarudi 10,000kmππ
Anapenda ubishi usio hata na sababu.Me nilishamaliza kuweka sawa we endelea kutanga tanga sasaπππ
Umeanza kudata weeeh!??Kwani kuna mwenye aliwadanganya mko na enough electricity?πππ
View: https://x.com/cobbo3/status/1859244640630653379
1.4 km mbona ka-bridge kadogo?
Hao wawili wamepewa suits na shirts mpya na wachina angalia vizuri tena zinazofanana π€£π€£π€£π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ unavaa makoti hayo. Watazame wachina walivyo vaa hali mjiangalie na nyie. Mnakaa kama Sokwe
View attachment 3157943
View attachment 3157947
Hatutaki mchezo sisiTeargas unatamani sana kuona picha yangu. π€£ π€£ π€£ π€£
By the way tuongelee hili
View attachment 3157992