Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm huwa nawaambia hawa wanatufosi kuwa ukanda wao wa East lkn sisi ni wa South.
Nchi za ukanda wao ni hizi. 🤣 🤣 🤣 🤣 👇👇

1732080159451.png
 
Huwa wanakurupuka katika maamuzi ili waonekane wapo juu ya Tanzania, matokeo yake wanafeli kila siku, sitoshangaa hao mgambo wao wakakosa hata nauli ya kurudi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nchi zao hizi hapa zinasifika kwa kuikimbiaji. Wanakimbia hawa 🤣 🤣 🤣 🤣 👇👇👇

Je umewahi ona wahanga wamekosa mahitaji kisa kusubiria michango?

Michango ni hiari kulingana na watu walivyogusa.

Serikali inawatibu Bure,imegharamia masishi,imewaokoa nk ila haiwezi wapa pesa Kwa sababu sio wajibu wake but wafiwa Watapata pole.

Serikali ya Suluhu haijawahi kula pesa za wahanga kama serikali ya Mwendazake alipokula pesa za wahanga wa tetemeko.

Jana nilifurahi sio Kwa sababu ya Taifa Stars ila Kwa haters kuumbuka maana mlitaka Stars isifuvu mumzodoe Rais.

Kwa taarifa yenu tuu mtaumia sana yaani mnavyoongeza chuki ndivyo nyota inang'aa.

Waulizeni Machadema wako wapi saizi ,Samia ana leadership intelligence na nyota Kali sana 🤣🤣👇👇

View: https://x.com/SuluhuSamia/status/1858906985141317698?t=ZntfwMOtSTLOTPFaM56rZg&s=19

wahanga wanasubiri michango kutoka kwa watanzania 😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 wengine wanapndishwa kwenye kirikuu haya ndio maendeleo tunayojisifu nayo, labda nikuulize kwann michango ichangishwe kwa watanzania kama serekali inaweza kutoa??? kwann watu kuingia uwanjani bure michango haijaletwa kwa wananchi, au ndio tunajifichia kwenye mpira na AFCON ionekane nothing happened

sijawahi kuona aiseeee
 
Wewe toa mchango waja upuuzi, account ya serikali ipo.

Serikali ya Samia haili michango kama serikali ya Mwendazake.

Mwisho kazi inaendelea huku 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DClKY1LvM22/?igsh=MWdnZDY5OGlvaDlnaw==
 
Nchi zao hizi hapa zinasifika kwa kuikimbiaji. Wanakimbia hawa 🤣 🤣 🤣 🤣 👇👇👇

Sio kukimbia tuu na kukimbia kwao pia 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hamna kocha mule. Anatembelea ukubwa ya viwango vya ligi yetu.
hehehehhehe yani ChoiceVariable anafkiri tanzania haijawah ku qualify AFCON sasa atuambie 1980 tanzana iliingia kwa nguvu ya nani???😂😂😂😂😂

tanzania ishafuzu mara kadhaa sio juzi wala leo tunachohitaj taifa stars ifike walau robo fainali, tuwe na academy za mpira sio tunatumia pesa nyingi kuwapa posho wachezaji yet huku chini kumeoza hatuna zao lakimpira totaly
 
Kwa mama Tume qualify 3 times
 
Back
Top Bottom