Mnapigia kelele na mbaenda kutoka huko bila ushindi wowote😂😂
Dunia ilishahama huko. Ondoka kwenye dimbwi la umaskini mtoto wangu.Tulishaelewana Mombasa is ahead of Dar by now.
Three level interchange In Mombasa.
View attachment 3156754
Wewe shoga dunia gani imehama? Tanzania only have interchange in one city yet you are here unapanua midomo ati dunia ilishahama. Jengeni interchanges in other regions kwanza ndio ulete umaskini wako hapa.Dunia ilishahama huko. Ondoka kwenye dimbwi la umaskini mtoto wangu.
Wakeup
Tulishaenda kitambo tukapata wins kadhaa, nyinyi hakuna hata win moja mshaipata huko😂😂Mbona hamjaenda nyie ili mkashinde njaaa
Chawa kuchangia timu ya taifa kupo, Tena waziri mkuu ndio aliongoza hiyo kampeni ya kuchangia timu ya taifa. Hafla ilifanyika johari rotana mwaka huu mwanzoni, watu wakachangia wengine walitoa ahadi.Kwani Kuna account ya michango ya Taifa Stars?
Wewe kichwa chako kina upumbavu mwingi,utoe mchango kwani Stars imefiwa au imepatwa na majanga?
Hakuna kitu, wanatudharau, ligi yetu mara ya mwisho ilikua ya tatu kwa kutoa wachezaji wengi AFCON, ligi yetu ya 5 kwa ubora Africa, timu yetu inaingia AFCON mara ya tatu mfululizo...au tusema mara 4 kabisa ukijumlisha na 2027. Ila bado kuna mchi za hivyo kama Kunya eti ipo juu yetu.Baada ya Afcon 2025 rank yetu ya FIFA itaongezeka sana.
Hebu Leta picha zenu!Si nliskia hiii nchi watu ni weupe kama pamba!
Mbona naona waSUDAN tupu
FIFA doesn’t leagues while doing Ranking. Nyinyi watanzania mbona mnakuanga wajinga hivi?Hakuna kitu, wanatudharau, ligi yetu mara ya mwisho ilikua ya tatu kwa kutoa wachezaji wengi AFCON, ligi yetu ya 5 kwa ubora Africa, timu yetu inaingia AFCON mara ya tatu mfululizo...au tusema mara 4 kabisa ukijumlisha na 2027. Ila bado kuna mchi za hivyo kama Kunya eti ipo juu yetu.
Tu focus na maendeleo ya mpira wetu tu. Watakapo ona aibu watatukuta tu huko mbele
Ebu Leta picha yako.Hebu Leta picha zenu!
We are moving on the right direction.
Boat and Ship building in Mombasa.
View: https://x.com/KenyaShipyards/status/1858845831065202950
Whole week 24/7 upo hapa JF. 🤣 🤣 🤣 🤣Wewe shoga dunia gani imehama? Tanzania only have interchange in one city yet you are here unapanua midomo ati dunia ilishahama. Jengeni interchanges in other regions kwanza ndio ulete umaskini wako hapa.
Ndio mnashindwa kutengeneza hadi mnapeana order Mombasa.Kameli ka uvuvi!
Yet Niko na pesa kukuliko.Whole week 24/7 upo hapa JF. 🤣 🤣 🤣 🤣
Jobless
Pesa za kwenye ndoto 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Yet Niko na pesa kukuliko.