Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,848
- 24,773
Utalia mpaka lini? Only 3,000km of pqved roads ndio zimebaki Nairobi ifikie Tanzania nzima.Wakenya ni watu waongo waongo sana.
Sijui wanafaidika nini na uongo uongo.
Imagine mtu anasema ana paved Road network ya 22k km na Nairobi kimji Chenye 696 Sqkm kina km 7000. From Johannesburg mpaka Egypt ni km 8388...ila Nairobi pekee in km 7000...aloo! Kenyans