ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kulikuwa na sababu za msingi za kukwepa gharama ambazo zilitakiwa kubebwa na Total,Kwa Sgr gharama za fidia zitabebwa na Serikali ya Kenya huoni huo utofauti?kwani bomba la mafuta kupita tanzania je haikuondoa urefu wa kupita lamu kua mfupi zaidi ๐๐๐๐๐
shida yako ww hua unakurupuka sana sasa hvi kuna vita baridi ya kiuchumi kati ya tanzania na kenya kama huna watu wakuwajibika na kufatilia kuna mambo mengi utayasikia kwa jirani
Vita baridi haviwezi kuisha maana tunashindana Kwa sababu tuna offer bidhaa na Huduma zinazofanana so maisha yatakuwa ni ya kugawana keki.