AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,395
- 3,411
Bandari ipi aliuziwa Adani!?
Na mbona pia kuna DP World!? Wao DP wana operate bandari ipi!?
Subiri muwekezaji mpya hapo Airport ya kunyaland kama atakuwa mzuri kuliko Adani.... Saiv anachukua nabii hiyo Airport