The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
Wazee wa jua kali works tumewazoea.Nimeanza kumwelewa The Best 007
Inawezekana wasiandae
The country is rotten to its core.Jamaa amelalamika wanakusachi kama lisaa lizima huku wakitoa vitu kwenye begi.
Aiseeee!
HAITOSHI na rushwa juu.
So, unataka kufananisha Dar na Nairobi? Yani Nairobi iliyojaa ma slums left, right and center ufananishe na Dar isiyo na slums? Unaumwa wewe, rekebisheni Nairobi kwanza inanuka ndiyo mje mlinganishe na miji ya watu iliyostaarabika.I saw this video on Facebook nikabaki na mshangao sana na kujiuliza hii battle ni ya nini. Yani uswazi kila Kona and unpaved roads is the order of the day everywhere. Dar es salaam is ugly from a bird's eye view.
Aisee mtindo huo walikua wanao wakaguzi wa Azam marines,mara watoe vitu kwenye begi wachakue hovyo ndio upite.Ro
The country is rotten to its core.
Ruto anamlilia adani hakuna mtu mwingine wa kuziba matundu ya mvua na potholes kwenye runways
View: https://youtu.be/FnwDW5YSQbM?si=A7OYFRNw9qDBDA1t
Kwenye ku host CHAN mimi nimeshamuua kenya kwenye mkeka wangu. Sasa hivi nasubiri u tick tuu 😁Kinamna The best 007 utabiri wake unakuja kutick.
Kaka mm nawajua hawa jamaa hawana lolote zaidi ya mdomo mpana tu, huwa wanaongopa sana, hiyo Nairobi tu jamaa yangu ametoka huko juzi anasema hakuna mji pale, mauchafu kila kona, mji mchafu saanaa tofauti na alivyokuwa anaambiwa, uchumi wao hautoshi kuandaa michuano hii piga ua, labda caf wawaonee huruma kuandaa Chan lkn afcon wasahau.Kinamna The best 007 utabiri wake unakuja kutick.
Kwani hawana scanners at their stations?Aisee mtindo huo walikua wanao wakaguzi wa Azam marines,mara watoe vitu kwenye begi wachakue hovyo ndio upite.
Ilikua inakera inaharibu privacy ila wameacha wamebadilika.
Sasa hawa ndugu zetu SGR damn whole hour unasachiwa aiseeee😂😂😂😂😂.
Umeshachoka kabla hata haujachoshwa na safari ya mtikisiko wa nginja nginja wa masaa 6.
Kama unasemea Azam way back walikua hawatumii scanner.Ila Sasa hivi zipo unaweka begi linakuwa scanned na wewe unapita huguswi kabisa ni dakika moja tu unapita zako kupanda boti.Kwani hawana scanners at their stations?
Ule uwanja wao wa Kasarani hizo pesa zilizotumika na renovation iliyofanyika unachoka na kulia!!Kaka mm nawajua hawa jamaa hawana lolote zaidi ya mdomo mpana tu, huwa wanaongopa sana, hiyo Nairobi tu jamaa yangu ametoka huko juzi anasema hakuna mji pale, mauchafu kila kona, mji mchafu saanaa tofauti na alivyokuwa anaambiwa, uchumi wao hautoshi kuandaa michuano hii piga ua, labda caf wawaonee huruma kuandaa Chan lkn afcon wasahau.
Tatizo hawa nyang'au hawataki kukubali😁😁Ro
The country is rotten to its core.
Do you have steel manufacturing factory in Tanzania?Of its kind in EAC 😂😂😂😂
Hivi hamna scanner kwenye SGR station zenu!?Do you have steel manufacturing factory in Tanzania?
Kenya has more scanners than all East African countries combined.Kama unasemea Azam way back walikua hawatumii scanner.Ila Sasa hivi zipo unaweka begi linakuwa scanned na wewe unapita huguswi kabisa ni dakika moja tu unapita zako kupanda boti.
Ila back then walikua wanatumia ukaguzi wa mkono.
But about Kenya tumuulize Teargas vipi hamna scanner!?