Artificial Horizon
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 495
- 1,109
Kama CHAN mnashindwa kuandaa AFCON mtawezea wapi nyie?Jua tofauti ya CHAN na AFCON, Mbona watanzania mko wajinga hivi?
Hujui kama CHAN ya Feb 2025 ni kama majaribio ya kuandaa AFCON 2027?
Tuko hapa kama mtaweza kuandaa AFCON