Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani lazima tutengee? Ebu tuonyeshe penye tulitenga pesa za affordable housing, tuonyeshe penye tulitenga pesa za kukata ati Kasarani Stdium, tuonyeshe penye tulitenga pesa za kutengeneza all the ongoing roads projects in Kenya. Tuonyeshe penye tulitenga pesa za kujenga all the small stadiums tunajenga all over Kenya.
Basi kwenu hakuna fiscal discipline
 
Unasema hamuwezi jenga magorofa halafu chini ni tope eeh? 😂 😂 😂

20221124_135741-jpg.2439637
Nioneshe highrise building hapo.
 
Ila sio nyie, hizo ni za ulaya na wanatamani kuwa na kama yetu, hakuna nchi duniani isiyotamani kuwa na reli kama yetu, hata ukilia huo ndiyo ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa kuwa na reli ya umeme inamaanisha Tanzania imeendelea kuliko hizo nchi za ulaya ambazo hazina reli za umeme? Mtanganyika ni mtanganyika tu
 
Vilaza wawili wakifarijiana. Bongolalas have you ever seen an indoor arena? Have you ever used or even seen a floating bridge? Do you know what an expressway is? Have you ever seen a geothermal power plant?

Vilaza katika ubora wao
Upuuzi mtupu😂
 
Sasa kuwa na reli ya umeme inamaanisha Tanzania imeendelea kuliko hizo nchi za ulaya ambazo hazina reli za umeme? Mtanganyika ni mtanganyika tu
Watchman nchi nyingi za ulaya usipende kuweka comparison na nchi za kiafrica, wao walishatoka huko kitambo, mm nakuambia Tanzania ipo mbele ya Kenya kwa kila kitu kasoro slums, uchafu na ukabila.
 
Back
Top Bottom