Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya tunamjua tunamtambua na ndio kwa maana ame perform Kenya multiple times. Huyo diamond wenu ajidishi na hizo performance zake za kipuzi za kulipsync, hata ni vizuri hakuperform jana. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Mtaweza kuishi bila Mondi nyinyi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Yani xpress way imewavua nguo kabisaa aiseee, road ina gari mbili alafu chini ndiyo kuna uchafu wa probox kama wote, ili mchina arudishe pesa yake itampasa aimiliki hiyo road kwa miaka mingine 100 ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ