Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Unataka kuona barabara yenye foleni.? Kuliko express way.? 😂😂😂 kwani hapo juu ya express way kuna gari ngapi mkuu.?Nina uhakika nikikuuliza unionyeshe Barabara Moja tu Bongo yanye traffic nyingi kuliko hiyo ya expressway hutonionyesha.