Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hueleweki. Nenda kasome kwanza kiswahili ndio uje kujadiliana na wasomi wa JF.
Wewe ni msomi?😂🤣🤣🤣😂.

Kama wewe ni msomi basi sitashangaa kuona kondoo wote wakijiita wasomi.
 
Proof ipo wapi? Kwahiyo hayo mabasi hayawezi kubeba wanafunzi kuja Dar? 🤣 🤣 🤣
So wanafunzi wanaandikiwa routes in buses? You are an idiot. Alafu as far as i know your schools had already closed, ebu sasa tuambie ni wanafunzi gani hao wanabebwa wakipelekwa wapi? Na wametoka wapi?
 
Ngoja nikurahisishie. Tuwekee Online Booking ya mabasi haya unayodai. Hapa Tanzania kampuni zote za Basi zipo na Online Booking.
Nenda ukaitafute pekee yako. Do you know what a bus service means? Ama wewe ni mjinga tu kama mamako?
 
So wanafunzi wanaandikiwa routes in buses? You are an idiot. Alafu as far as i know your schools had already closed, ebu sasa tuambie ni wanafunzi gani hao wanabebwa wakipelekwa wapi? Na wametoka wapi?
Route imeandikwa wapi kijana? Unababaishwa na hicho kibao cha hapo mbele 🤣 🤣 🤣 🤣.
Hiyo ni kuonesha askari barabarani mnatoka wapi na mnaelekea wapi.

Hebu tupatie basi Booking Website
 
Hiyo proof ipo wapi sasa kijana. 🤣 🤣 🤣 Tuoneshe japo mabasi hayo yakiwa stand yoyote.
Next excuse?

1733924588658.jpeg
 
Back
Top Bottom